MRADI wa ujenzi wa machinjio ya kisasa katika Kata ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma umefikia asilimia 95 na kwamba ujenzi huo unatarajia kukamilika kwa asilimia 100 ifikapo mwishoni mwa mwezi huu Januari.Machinjio hiyo inafadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya shilingi bilioni 3.2.
Hatimaye Shirika la kimataifa la uhifadhi endelevu la WWF limefanikiwa kuratibu uundwaji wa Jukwaa la Maendeleo na uimarishaji wa uhifadhi ushoroba wa Selous-Niassa ambao upo katika hatari ya kutoweka kutokana na shughuli mbalimbali za kibinadamu zinazofanyika ndani ya ushoroba.
Fuatilia sehemu ya pili ya Historia ya wangoni toka Afrika ya Kusini hadi Tanzania kutoka kwa mjumbe wa Baraza la wazee wa makumbusho ya Majimaji Aidan Songea Mbano
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa