SHIRIKA la PADI kwa ufadhili wa PACT TANZANIA wamefadhili mafunzo na kutoa vifaa mbalimbali vya ufundi kwa vijana 51 waliokuwa wanasoma chuo cha Ufundi stadi VETA cha Songea kozi fupi
Mtazame Mkuu wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA cha Songea Gideon Ole Lairumbe Akizungumza katika mahafali ya watoto 51 wanaoishi katika mazingira hatarishi ambao wamesoma kozi fupi ya miezi mitatu kwa ufadhili wa Shirika la PADI kupitia PACT TANZANIA.
Mtazame NAIBU Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya songea Judith Mbogoro akitoa nasaha zake katika mahafali ya watoto 51 wanaoishi katika Mazingira hatarishi ambao wamehitimu kozi fupi za miezi mitatu katika chuo cha Ufundi Stadi VETA Manispaa ya Songea kwa ufadhili wa PACT TANZANIA
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa