Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakiminya kitufe kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa mradi wa Ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme KV 220 kutoka Makambako hadi Songea pamoja na vituo vya kupooza umeme KV 220/33 katika sherehe zilizofanyika Songea mkoani Ruvuma.Mradi huo mkubwa umegharimu zaidi ya shilingi bilioni 215
TAZAMA yaliyojiri wakati Rais Dkt.John Magufuli anahutubia wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Ruvuma kuanzia Aprili 4 hadi 9,2019.Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Godfrey Zambi wakati anazungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Songea.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa