MKUU wa wilaya ya Somgea pololet Mgema alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mtendaji kata Mateka Manispaa ya Songea.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amezindua mtambo wa kisasa wa X RAY wa kijiditali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma mjini Songea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 08 Januari, 2018 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Uteuzi huu unatangazwa moja kwa moja kutoka Ikulu, Dar es Salaam Katibu mkuu Kiongozi Balozi Dkt.John Kijazi
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa