FUATILIA makala hii ambayo inazungumzia umuhimu wa usimamizi wa rasilimali za nchi ikiwemo madini kuzalishwa kwa kuzingatia sheria za nchi zilizopo.Kwa miaka kadhaa serikali imepoteza mabilioni ya fedha katika sekta ya madini kwa kutosimamia sheria za madini
MTAZAME Naibu Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha alipotembelea Sekondari ya Songea Girls ambayo inakarabatiwa na Wakala wa Majengo Tanzania(TBA).Waziri amesikitishwa na TBA kuwa nyuma ya mkataba kwa mwaka mmoja hali ambayo inaleta changamoto kubwa kwa wanafunzi zaidi ya 800 wanaosoma katika sekondari hiyo.
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknlojia William Ole Nasha amekutana na walimu wa shule ya sekondari ya Songea Girls na kutoa ufafanuzi kuhusu Bodi ya Taaluma ya Walimu wa Tanzania
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa