KAMATI ya Siasa ya CCM katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imefanya ziara ya kutembelea mradi wa bustani ya Manispaa ya Songea uliofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya shilingi milioni 399
MRADI wa ujenzi wa Kituo cha Afya Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea uliogharimu shilingi milioni 400 umefikia asilimia 28 hadi kufikia Juni 20 mwaka huu.
MTAZAME Mkuu wa shule ya sekondari ya wasichana Songea Tiupoke Ngwala akielezea serikali ilivyosikiliza kilio cha sekondari hiyo kwa Kamati ya Siasa ya CCM Manispaa ya Songea
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa