BUNGENI DODOMA; Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa amesema ifikapo mei 31 mwaka huu ni marufuku kutumia,kutengeneza, kununua wala kuuza mifuko ya plastiki kutoka na mifuko hiyo imeleta madhara makubwa kwa watumia.
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imetoa mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 70 kwa wajasirimali wadogo.
UTAZAME mji wenye maajabu ambao unafanana sana na maumbile ya binadamu
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa