TAMISEMI imetoa pongezi kwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwa tovuti yake kuwa miongoni mwa Tovuti za serikali zinazofanya vizuri hivi sasa kwa kutoa taarifa mbalimbali mara kwa mara kupitia tovuti hiyo.Pongezi hizo zimetolewa na Msimamizi wa Tovuti za mikoa na Halmashauri wa TAMISEMI Atley Kuni
Mkuu wa chuo cha (CBCTC) Jane Nyau,CBCTC kuanzia Julai 2019 kinatarajia kuanza kutoa kozi ya Astashahada ya Awali ya Waongoza watalii kwa muda wa mwaka mmoja.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Tina Sekambo amewaasa wananchi wote katika Manispaa hiyo kuachana na matumizi ya mifuko ya plastiki na kutumia mifuko mbadala kuanzia Juni Mosi 2019.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa