KAYA zaidi ya 900 kutoka Mtaa wa Luhirakati Kata ya Mwengemshindo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamepata huduma ya maji ya bomba katika mradi uliotekelezwa na serikali ya Aawamu ya Tano kwa thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa