KATIBU Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma Profesa Riziki Shemdoe amejitambulisha rasmi kwa watendaji wa wilaya na mkoa wa Ruvuma katika hafla ya kuapishwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Namtumbo Sophia Kizigo ambapo ameweza kuvitaja vipaumbele vyake kuhakikisha Mkoa wa Ruvuma unasonga mbele.
MTAZAME Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Alhaji Abdul Hassan Mshaweji akizungumiza malengo ambayo yamewekwa na Manispaa ya Songea katika mwaka wa Fedha wa 2018/2019 ili kuhakikisha makusanyo ya mapato yanaongezeka
MTAZAME Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa madiwani kwenye mkutano wa Baraza la madiwani uliofanyika kwenye ukumbi wa manispaa ya Songea.Hapa anajibu swali la Diwani wa Ruhuwiko Wlbert Mahundi kuhusu ujenzi wa kituo cha Afya Ruhuwiko
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa