MKUU wa wilaya ya Songea ameongoza Kikao cha Kamati ya Ushauri wilaya ya wilaya ya songea mkoani Ruvuma.Moja ya hoja zilizojitokeza ni Changamoto ya soko la mahindi
MTAZAME Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Owen Jasson akitoa taarifa ya utendaji kazi ya TAKUKURU Mkoani Ruvuma katika kipindi cha Julai-Septemba 2018 kwa wanahabari mjini Songea
MAMLAKA ya mawasiliano Tanzania ( TCRA ) imetoa mafunzo èlekezi ya mawasiliano kwa watumishi wa Idara na Vitengo katika Manispaa ya Songea .Wengine walionufaika na mafunzo hayo ni wafanyakazi toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, waratibu Elimu Kata 21 za Manispaa, wakuu wa shule za msingi na Sekondari katika Manispaa ya Songea. Mwezeshaji wa mafunzo hayo ni Mhandisi Asajile John ambaye ni Mkuu wa TCRA Nyanda za Juu Kusini.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa