MTAZAME Kaimu Balozi wa Poland nchini Tanzania Dk.Evelina Lubieniecka akizungumza katika mdahalo wa wafanya biashara kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka ndani ya ukumbi wa Manispaa ya Songea.
MTAZAME Mbunge wa Songea mjini Dk.Damas Ndumbaro akizungumza kwenye mdahalo wa wafanyabiashara kwenye tamasha la Majimaji Selebuka ambalo limefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.Mbunge huyo pia amesema wafanyabiashara wa Songea wanatarajia kwenda Poland kujifunza kilimo na uhifadhi Septemba mwaka huu.
MTAZAME Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akizungumza mpango wa serikali ya Tanzania kushirikina na na nchi ya Poland wanatarajia kujenga maghala ya kisasa manane ambapo ghala ambalo linajengwa Songea litakuwa kubwa zaidi likiwa na uwezo wa kuhifadhi tani 46,000 za mahindi
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa