Ni jitihada za Serikali ya Awamu ya tano kuhakikisha wajasiliamali wadogo kupata mikopo bila riba. Mikopo hiyo sasa kuanza kutolewa kila mwezi. Dc Songea asimamia zoezi hilo.
Ndege kubwa Songea kuanza kutua mwezi augost 2020, kamati ya yatembelea na kuridhishwa na mradi huo.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa