KITUO cha mabasi cha Mfaranyaki ni moja ya miradi ambayo imefadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia miradi ya ULGSP kwa gharama ya zaidi ya shilingi 550.Ukarabati wa stendi hiyo imekamilika na Manispaa ya Songea imeanza kunufaika na Mradi huu.
Kupitia miradi ya ULGSP chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia Manispaa ya Songea inatekeleza miradi mitano kwa gharama ya shilingi bilioni 27,fuatilia makala haya
Mkuu wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Sophia Kizigo ameitaja njia ambayo inaweza kuwasaidia wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari kutopata mimba za utotoni.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa