KAMPUNI ya kimataifa ya serikali ya China inayoitwa SIETICO inatekeleza mradi wa Ujenzi wa Stendi mpya katika eneo la Tanga Manispaa ya Songea ambayo imefadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya sh.bilioni sita. Tazama muonekano wa Stendi itakapokamlika Septemba mwaka 2019.
WATU 26 waliopisha Mradi wa stendi Mpya ya mabasi eneo la Kata ya Tanga Manispaa ya Songea wamelipwa fidia ya milioni 54.Jumla ya watu 34 wanatakiwa kulipwa jumla ya fidia ya milioni 70 ambapo hadi sasa watu ambao bado hawajalipwa ni wanane ambao wanadai jumla ya shilingi milioni 16.
Fuatilia makala hayo kuona namna wakazi wa Mtaa wa Tanga Kata ya Tanga waliolipwa fidia wanavyozungumzia mradi wa stendi ya mabasi katika eneo la
KAMATI ya lishe ya Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma, imefanyika kikao leo kwenye Ukumbi wa Manispaa ya Songea, pamoja na mambo mengine wamezungumzia athari za kiafya zinazotokana na kuhifadhi mahindi na nafaka nyingine kwa kutumia kemikali za maji ambazo zina sumu zinazosababisha magonjwa ya ini na figo.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa