JUMLA ya vijana 55 wamehitimu kozi ya miezi mitatu ya Askari wanyamapori vijijini(VGS) katika chuo cha Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii(CBCTC) kilichopo Likuyu Sekamaganga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.Mgeni rasmi katika mahafali hayo ambayo yamefanyika Juni 24,2018, alikuwa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Generali Gaudence Milanzi.Moja ya mambo ambayo yamemvutia zaidi ni ukrukwaji wa vikwazo kwa stahili ya Chimpanzee.Tazama mwenyewe
JUMLA ya vijana 55 wamehitimu kozi ya miezi mitatu ya Askari wanyamapori vijijini(VGS) katika chuo cha Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii(CBCTC) kilichopo Likuyu Sekamaganga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Generali Gaudence. Moja ya mambo yaliomvutia Milanzi ni ukakamavu wa wahitimu hao waliouonesha katika gwaride lililoandaliwa na wahitimu kabla ya kutunukiwa vyeti.Tazama mwenyewe.
JUMLA ya vijana 55 wamehitimu kozi ya miezi mitatu ya Askari wanyamapori vijijini(VGS) katika chuo cha Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii(CBCTC) kilichopo Likuyu Sekamaganga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.Mgeni rasmi katika mahafali hayo ambayo ni namba 63 ya mwaka 2018 alikuwa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Generali Gaudence Milanzi.Akizungumza katika mahafali hayo Katibu Mkuu amesema,licha ya serikali kujitahidi kufanya kila linalowezekana ili kukomesha ujangili huo kwa kweli ujangili wa tembo bado upo,tunataka kufikia sehemu ambayo tunaweza kusema hatuna ujangili Tanzania’’,alisisitiza Milanzi.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa