Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Ruvuma kuanzia Aprili 4 hadi 9,2019.Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Godfrey Zambi wakati anazungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Songea.
Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli katika Mkoa wa Mtwara
RAIS Dkt John Magufuli ametoa maagizo mazito kwa TRA kubadilika ili kuhakikisha kuwa idadi ya walipa kodi Tanzania inaongezeka ukilinganisha na hivi sasa ambapo idadi ya watu wanaolipa kodi ni milioni tatu tu.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa