MKOA wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa nchini inayoongoza kwa udumavu nchini licha ya kuwa na utajiri wa mazao mbalimbali ya chakula
TAZAMA Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ilivyodhamiria kutokomeza ugonjwa wa malaria
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ambaye alikuwa mgeni rasmi katika siku ya maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani Mei Mosi, pamoja na mambo mengine anaeleza sababu za kutopandisha mishahara watumishi wa umma.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa