Serikali imeanza mchakato wa kutunga kanuni za kukabiliana na watakaokiuka katazo la utengenezaji, uuzaji, uingizaji na uhifadhi wa mifuko ya plastiki ambayo Mei 31 ndio mwisho wa matumizi ya mifuko hiyo.Waziri wa Mazingira, January Makamba ametoa ufafanuzi na onyo kwa waliopanga kukiuka katazo hilo na kusema wadau wa biashara wanalifahamu katazo hilo kwa muda mrefu na hawajastukizwa.
TAZAMA makala ya TASAF ilivyoinua kaya masikini katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma
MTAZAME Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo akizitaja Halmashauri 23 nchini ambazo zimetoa mikopo ya wajasirimali wadogo ambao ni vijana,wanawake na wenye ulemavu kwa chini ya asilimia 20
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa