CHAMA cha Mapinduzi mkoani Ruvuma kimeshinda bila kupingwa kwa asilimia 100 katika uchaguzi wa serikali za mitaa katika ngazi ya vijiji vyote 551,vitongoji 3723 na mitaa yote 124 iliyopo mkoani Ruvuma.Mtazame Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma Nuru Ngeleja akielezea kuhusu kishindo cha ushindi wa CCM
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa