Mtazame mkurugenzi wa Saint Teresa Orphans Foundation (STOF)Teresa Nyirenda akizungumzia sababu zilizosababisha kuanzisha Shirika hilo na mafanikio ambayo yamepatikana tangu kuanzishwa kwake miaka 17 iliyopita.
Taasisi ya STOF ambayo inafanyakazi nchini Tanzania na Marekani inatarajia kufungua shule ya msingi ya kimataifa Januari mwaka 2020 katika eneo la Unangwa Kata ya SeedFarm Manispaa ya songea mkoani Ruvuma
Mradi wa ujenzi wa Kituo afya kata ya Ruvuma Manispaa ya songea unaogharimu shilingi milioni 400 imefikia asilimia 75.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa