TAZAMA aina mpya ya utalii ambayo inaanzishwa katika kanda mbili ambazo ni Matogoro Geopark na Nyasa Geopark
JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea Jaiji Sekela Moshi alikuwa ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambapo katika Manispaa ya Songea imefanyika Namanditi Kata ya Ruhuwiko,
KITUO cha Afya Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea ambacho kimegharamu shilingi milioni 400 kinatarajia kukamilika Aprili mwaka huu.Kituo hicho kina majengo manne ambayo ni jengo la Mama na Mtoto,Upasuaji,Huduma za wagonjwa wa nje na maabara.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa