Afisa Afya wa Manispaa ya Songea akitoa taarifa ya ujenzi wa zahanati ya Lilambo iliyopo katika Kata ya Lilambo iliyogharimu sh.milioni 39 hadi sasa.
MKUU wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema akitoa maelezo ya Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Manispaa ya Songea, kabla ya kumkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mbinga ili Mwenge wa Uhuru uanze mbio zake katika Halmashauri ya Mbinga Mji.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2017 ampongeza Diwani Songea
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa