Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza ukusanyaji mapato katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea kufkia asilimia 81 katika mwaka huu wa fedha na watendaji wote wanaohujumu mapato kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kazi.
VIUMBE adimu waliopo katika ziwa Nyasa mkoani Ruvuma wapo katika hatari ya kutoweka ,miongoni mwa viumbe hivyo ni fisi maji waliopo ndani ya ziwa Nyasa
HIFADHI ya Taifa ya Saanane ni miongoni mwa Hifadhi za Taifa 16 zilizopo hapa nchini.Hii ndiyo Hifadhi ndogo ya Taifa kuliko zote iliyopo Jijini Mwanza.Fuatilia makala haya
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa