Sekta ya utalii nchini Tanzania hivi sasa inapata mafanikio makubwa baada ya serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje ya nchi.Tazama moja ya vivutio vya utalii vya wanyamapori ambavyo viliwavutia watalii toka nje ya nchi na bila shaka wakirudi kwao watawasimulia wenzao ili wafike hapa nchini kutembelea vivutio vyetu ili kuongeza mapato na fedha za kigeni.
KRETA ya Ngorongoro ni eneo dogo lakini zuri sana kuona simba wengi na wanyama mbalimbali kwa muda mfupi.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli amekubali ushauri wa viongozi wastaafu wakiwamo Marais wastaafu,mawaziri wakuu na majaji wastaafu ambao aliwaalika Ikulu jijini Dar es salaam.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa