SHIRIKA lisilo la kiserikali la Ruvuma Orphans Association limetoa msaada kwa shule mbili za msingi zilizopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Shule hizo ni shule ya msingi Matogoro na shule ya msingi Misufini.Tazama zaidi makala haya.
MKUU wa wilaya ya Somgea pololet Mgema alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi vitambulisho hivyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mtendaji kata Mateka Manispaa ya Songea.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amezindua mtambo wa kisasa wa X RAY wa kijiditali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma mjini Songea
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa