Benki ya NMB imetoa msaada wa kompyuta tano,meza 50 na viti 50 katika shule mbili za sekondari zilizopo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma
Maandalizi ya kumbukizi ya mashujaa wa Majimaji ambayo hufanyika kila mwaka katika Makumbusho ya Taifa ya Majimaji yanaendelea vizuri kama anavyoeleza Mhifadhi Kiongozi wa Makumbusho hayo Barthazar Nyamusya
Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli imetoa shilingi milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa