MFAHAMU kuku aliyeibua mjadala mitaani
MTAZAME mnyama anayesadikika kuwa anaongoza kwa uvivu duniani ukilinganisha na wanyama wengine
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kupitia Mpango wa Serikali wa utoaji wa Elimu bila malipo kuanzia elimu ya msingi na sekondari hadi kidato cha nne maarufu kama ‘’elimu bure‘’ imepata mafanikio.
Uandikishaji wanafunzi wa Elimu ya awali umeongezeka kutoka 4,834 mwaka 2015 hadi 7,242 mwaka 2018 sawa na asilimia 112 ya lengo la 6,485,Uandikishaji wanafunzi wa darasa la kwanza umeongezeka kutoka 6,475 mwaka 2015 hadi 7,661 mwaka 2018 sawa na asilimia 118 ya lengo la 6,513 na Ufaulu wa darasa la saba umeongezeka kutoka 62.4 mwaka 2015 mpaka 76.5 mwaka 2018.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa