TAZAMA ngoma maarufu ya mganda ambayo asili yake ni wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya ametembelea bustani ya Manispaa ya Songea na kufurahishwa na ubunifu uliofanywa katika Mradi huo.
Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa ya Rais Dkt John Magufuli imetoa zaidi ya bilioni 1.4 kwa ajili ya ukarabati wa majengo yote ya shule ya Sekondari Songea Girls iliyoanzishwa mwaka 1974 yenye wanafunzi 850 wanaosoma kidato cha tano na sita.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa