Mkuu wa Majeshi Tanzania Venance Mabeyo amesema zoezi la kukinasua Kivuko cha Mv. Nyerere limefikia pazuri tayari wamekiinua upande mmoja.
MTAZAME Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza na watumishi wa mkoa huo wakiwemo walimu ambapo amekemea tabia ya baadhi ya maafisa watumishi na wakuu wa Idara kusababisha watumishi waliopo chini yao kutopandishwa madaraja kwa uzembe wao hali ambayo inasababisha watumishi walioanza kazi mwaka mmoja kutofautiana katika ngazi za mshahara.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ameongoza mazishi ya baadhi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere iliyozama Septemba 20, 2018,ambapo hadi kufikia Septemba 23 mwaka huu,watu 123 wamepoteza maisha katika ajali hiyo.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa