WAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo amefungua mkutano wa mwaka wa madaktari wa wilaya ya na mikoa uliofanyika jijini Dodoma
MTAZAME Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dk Mpoki akizungumza na madaktari wa wilaya na mikoa nchini kwenye mkutano wa mwaka wa madaktari hao ambao umefanyika mjini Dodoma
SERIKALI imetoa kiasi cha shilingi milioni 400 kwa ajili ya mradi wa kituo cha Afya kata ya Ruvuma manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Josephat Kandege amekagua mradi huo na kutoa maelekezo kadhaa ili kuhakikisha mradi unafanyika kwa mujibu wa maelekezo ya Wizara husika
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa