Mtazame Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Sophia Kizigo akielezea namna Wilaya hiyo inavyochangia katika mradi mkubwa wa kitaifa wa umeme wa maji Rufiji maarufu kwa Stigler,s Gorge
MTAZAME Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli akizungumza na maafisa Tarafa na kutoa maagizo mazito yatakayoboresha utendaji kazi wao
AKINAMAMA wa Tanzania kwa miaka mingi wamekuwa wanatumia muda mrefu na nguvu nyingi kufua nguo kwa kutumia mikono.
Teknolojia ya kibao cha kufulia nguo za aina zote ambayo imeletwa Tanzania na Raia mmoja wa nchini Japan Okamoto Ryuta ilivyoweza kuwakomboa akinamama na watoto katika kazi ya kufua kwa kutumia mkono wilayani Songea mkoani Ruvuma.Fuatilia makala haya
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa