RAis wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anazindua Mradi wa kusafirisha Umeme Mkubwa MW 220 kutoka Makambako hadi Songea Pia anaweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Songea.
RAIS Dkt John Magufuli alivyowatambulisha mawaziri wake kwa wanafunzi wa Songea Girls katika uwanja wa Majimaji
MAELFU ya wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma waliojitokeza katika ziara ya Rais Dkt.John Magufuli ymevunja rekodi hali iliyosababisha Rais Magufuli kukiri kuwa Songea imefunika kwa wingi wa wananchi.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa