MTAZAME Waziri Yusuf Makamba akizungumzia uamuzi wa serikali kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini kuanzia Juni 2019
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Juma Assad, Amesema Jumla ya Hati za Ukaguzi wa Hesabu Serikalini 531 Nisafi Kati ya Hati 548 Ambazo ni Sawa na Asilimia 97.
BUNGENI DODOMA; Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa amesema ifikapo mei 31 mwaka huu ni marufuku kutumia,kutengeneza, kununua wala kuuza mifuko ya plastiki kutoka na mifuko hiyo imeleta madhara makubwa kwa watumia.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa