Tarehe ya kuwekwa: July 2nd, 2018
UDANGANYIFU ni tendo lolote la uamuzi au uasi unaofanywa kwa lengo la kuwadanganya wengine na kusababisha anayedanganywa kupata hasara na anayedanganya kufaidika ama kwa kupata fedha.
Akitoa mada y...
Tarehe ya kuwekwa: July 1st, 2018
PEMBE za tembo kutoka pori la Akiba la Liparamba Mkoani Ruvuma zimebainika kuongoza kwa uzito ukilinganisha na pembe za tembo kutoka hifadhi na mapori mengine ya wanayampori nchini.
Afi...
Tarehe ya kuwekwa: July 1st, 2018
KISUKARI ni ugonjwa sugu ambao unatokana na sukari kuwa juu kwa muda mrefu kwenye damu.Kutokana na tatizo hilo kuwa tishio Shirika la Afya Duniani limeweka Novemba 14 kila mwaka kuadhimisha siku ya ki...