MKUU wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema na Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Tina Sekambo wametiliana Mkataba wa lishe katika Manispaa ya Songea ambao utadumu kwa miaka minne kuanzia Julai 2018 hadi Juni 30,2021
SHIRIKA lisilo la kiserikali la TUSOME PAMOJA kwa kushirikiana na serikali limechochea kupunguza changamoto ya wanafunzi kutojua KKK katika shule za msingi za Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Fuatilia makala haya
KAMATI ya fedha na Uongozi ya Baraza la madiwani Manispaa ya Songea imekagua mradi wa barabara katika kiwango cha lami ambapo jumla ya barabara saba zinafanyiwa ukarabati
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa